Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema kuwa kuanzia Aprili 4, 2020, chama hicho kitaanza rasmi kufanya mikutano ya hadhara yenye malengo mawili kudai tume huru na maandalizi ya Uchaguzi Mkuu….Bofya hapa kutazama.

Japoma Stadium mwenyeji fainali ligi ya mabingwa Afrika
'BREAKING NEWS' : Tanzania yathibitisha mgonjwa wa Corona

Comments

comments