Bilionea Bill Gates aonekana Tanga, Manji hatarini kufunguliwa kesi nyingine, Kenyatta aelekea kumstaafisha Odinga, Uhamiaji yaanzisha msako kwa wahamiaji, Lowassa, Kikwete ana kwa ana mazishi ya Mrema…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Agosti 10, 2017. Tazama video hapa

Mfumuko wa bei nchini wazidi kushuka
Trump: Dunia itashangaa hatua tutakayo chukua dhidi ya Korea Kaskazini