Msaii wa Bongo Fleva, Abdulaziz Abubakar maaarufu kama Dogo Janja ameandika ujumbe wenye utata katika ukurasa wake wa instagram nakumtakia heri ya kuzaliwa aliyekuwa mke wake, Irine Uwoya staa wa filamu  za bongo alipokuwa anasherekea siku yake ya kuzaliwa jana.

Disemba 18 ni siku ambayo Irine Uwoya alisherekea kumbukumbu ya kuzaliwa kwake ambapo ameweka wazi kuwa alikuwa anafikisha umri miaka 30, lakin Uwoya na aliyekuwa mume wake Dogo Janja wamekuwa wakigonga vichwa vya habari baada ya post ya Dogo Janja kuibua maswali mengi,na hasa kuna taarifa kuwa wawili hao wameachana baada ya miezi kadhaa ya ndoa.

Kupitia kurasa wake wa instagram alimpost mke wake Irine Uwoya kwa picha ambayo iliwahi kupostiwa kwa kuwakejeli kufunga ndoa kutokana na tofauti ya umri.

 

Programu ya Lukuvi yaibua madudu jijini Dar
Mnyika amshukuru JPM, 'Watanzania wanakuombea usiwe na kiburi'

Comments

comments