Timu zilizofunga magoli mengi: 
1: Tanzania Bara – 20
2: Kenya – 17
3: Uganda – 14
Timu zilizofungwa magoli mengi:
1: Djibouti – 33
2: Zanzibar – 17
3: Sudani Kusini – 12
Timu ambazo hazijaruhusu wavu wao kuguswa: 
1: Tanzania Bara
2: Kenya .
Vinara wa magoli:
1: Jentrix Shikangwe: Kenya – 6
2: Nalukenge Juliet: Uganda – 5
3: Donisia Minja: Tanzania – 5
4: Mwanahamisi Omari: Tanzania – 4
.
Timu zilizofuzu hatua ya nusu fainali:
1: Tanzania Bara
2: Kenya
3: Uganda
4: Burundi
.
Ratiba ya nusu fainali:
Jumamosi: Novemba 23,
Kenya Vs Burundi
7:45 mchana
Tanzania Vs Uganda
10:00 jioni

Mohamed Salah apigiwa upatu Olimpiki 2020
Habari kubwa katika Magazeti ya Tanzania leo Novemba 22, 2019