Tanzania imeshuka kwa nafasi sita kwenye viwango vya ubora wa soka duniani, ambavyo hutolewa kila mwezi na shirikisho la soka duniani (FIFA).

Mwezi uliopita Tanzania ilikua katika nafasi ya 114 na mwezi huu imeshika hadi nafasi ya 120.

Mwezi uliopita Tanzania ilipanda kwa nafasi 25 kutoka 139 hadi 114.

Kwa bara la Afrika Tanzania inashika nafasi ya 35.

Ukanda wa Afrika mashariki na kati ya kwanza ni  Uganda, Kenya, Rwanda, Tanzania, Ethiopia, Burundi, Sudan kusini, Sudan,Djibouti, Eritrea na Somalia.

Kumi bora duniani kwa mwezi huu wa nane.

  1. Brazil

2 Ujerumani

3 Argentina

4 Uswiz

5 Poland

6 Ureno

7 Chile

8 Colombia

9 Ubelgiji

10 Ufaransa

Video: Makonda kuwapa walemavu 200 miguu ya bandia bure
Wagombea Sita Wa Urais TFF Uso Kwa Uso Kwenye Kipindi Maalum