Wito umetolewa kwa wanatanzania hasa wakulima wanaojihusisha na kilimo cha nyanya ambazo zimepanda bei katika kipindi cha takribani wiki tatu sasa, kuiga mfano wa kilimo bora cha zao hilo kutoka kwa wakulima wa jijini Dodoma.

Wito huo umetolewa na naibu waziri wa kilimo, Omary Mgumba alipoongea na Dar 24 juu ya njia mbadala za kukabiliana na mfumuko wa bei ya nyanya hapa nchini. bofya hapa kutazama

Tyson Fury ampiga Wilder kwa TKO, amtesa ulingoni
Togo wafungua pazia uchaguzi wa marais Afrika 2020

Comments

comments