Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi wa Chama Cha Wananchi (CUF), Julius Mtatiro amesema kuwa kuanzia leo atakuwa balozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na nchi kwa ujumla kitaifa na kimataifa na kuunga mkono shughuli zote zinazofanywa na Rais Magufuli.

“Kuanzia leo mimi ni balozi wa Rais Magufuli ndani na nje ya nchi yangu, kwani nimefanya utafiti mkubwa sana, na nimetafakari zaidi ya mwezi mzima, Magufuli anafanyakazi kwa vitendo si porojo,”amesema Mtatiro

Endelea kutufuatilia Dar24 Media kwa taarifa zaidi

Siendi CCM kutafuta Vyeo wala Ukuu- Julius Mtatiro
Breaking News: Julius Mtatiro ajivua uachama CUF, ajiunga na CCM- Video

Comments

comments