Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Profesa Prosper Ngowi ameseama suala la Serikali kuhamia Dodoma limeleta mjadala mkubwa kwani kwenye bajeti halipo.

Prof. Ngowi ameeleza kukosa uhakika ni namna gani Serikali itafanya suala hilo kwani kwenye bajeti halipo na Serikali haiwezi kuhamisha zaidi ya asilimia 9 ya fedha zilizopangwa kwenye fungu lingine la bajeti. Bofya hapa kutazama video.

Mourinho: Tunaadhibiwa Kwa Makosa Ya Wengine
Video: Man United hoi mara tatu mfululizo

Comments

comments