Ukitaja jina la Alexis Sanchez utakuwa unazungumzia benki inayotembea,  kutokana na fedha atakazokuwa anapokea kama mshahara wake kwa juma kwenye klabu yake mpya ya Manchester United.

Katika kuonesha thamani yake hiyo kama mchezaji anayelipwa fedha nyingi katika ligi ya Uingereza, Sanchez ameamua kumiliki gari la kifahari zaidi na lenye thamani kubwa.

Gari hilo ni Bentley GT yenye thamani ya paundi 150,000 ambapo ni zaidi ya shilingi milioni 475 za kitanzania.

Waamuzi wa Yanga Vs Saint Louis FC watajwa
Mwadui FC Vs Njombe Mji wasogezwa mbele