imgs5650
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarest Ndikilo baada ya kuwasili kwenye eneo inapojengwa Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Pwani na Mahakama ya Wilaya ya Kibaha kuzindua Mpango Mkakati na Mradi  wa Maboresho ya Huduma za Mahakama ya Tanzania Septemba 21, 2016.
imgs5657
imgs5656
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman  baada ya kuwasili kwenye eneo inapojengwa Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Pwani na Mahakama ya Wilaya ya Kibaha kuzindua Mpango Mkakati na Mradi  wa Maboresho ya Huduma za Mahakama ya Tanzania Septemba 21, 2016.
imgs5661
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Spika wa Bunge  Dkt, Tulia Ackson baada ya kuwasili kwenye eneo inapojengwa Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Pwani na Mahakama ya Wilaya ya Kibaha kuzindua Mpango Mkakati na Mradi  wa Maboresho ya Huduma za Mahakama ya Tanzania Septemba 21, 2016.
imgs5682
imgs5684
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarest Ndikilo akizungumza  katika   uzinduzi  Mpango Mkakati na Mradi  wa Maboresho ya Huduma za Mahakama ya Tanzania ulifanywa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa mjini Kibaha Septemba 21, 2016.
imgs5686
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji  akizungumza katika   uzinduzi  Mpango Mkakati na Mradi  wa Maboresho ya Huduma za Mahakama ya Tanzania ulifanywa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa mjini Kibaha Septemba 21, 2016.
imgs5690
Mkurugenzi wa Benki ya Dunia katika nchi za Tanzania, Burundi, Malawi na Somalia, Bella Bird  akizungumza katika uzinduzi  Mpango Mkakati na Mradi  wa Maboresho ya Huduma za Mahakama ya Tanzania ulifanywa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa mjini Kibaha Septemba 21, 2016.
imgs5701
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman akizungumza katika uzinduzi  katika uzinduzi Mpango Mkakati na Mradi  wa Maboresho ya Huduma za Mahakama ya Tanzania ulifanywa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa mjini Kibaha Septemba 21, 2016.
imgs5708
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisaidiwa na Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othaman kukata utepe wakati alipozindua  Mpango Mkakati na Mradi wa Maboresho ya Huduma za Mahakama ya Tanzania  mjini Kibaha, Septemba 21, 2016.
imgs5715-1
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyesha   Mpango Mkakati na Mradi wa Maboresho ya Huduma za Mahakama ya Tanzania  baada ya kuuzindua mjini Kibaha, Septemba 21, 2016. Wengine pichani kutoka kushoto ni Dkt. Hassison Mwakyembe, Waziri wa Katiba na Sheria, Jaji Mkuu, Mohamed Othman Chande na Naibu Spika wa Bunge, Dkt Ackson Tulia.
 imgs5726
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisaidiwa na Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othaman kukata utepe wakati alipozindua   Mradi wa Maboresho ya Huduma za Mahakama ya Tanzania  mjini Kibaha, Septemba 21, 2016. Kushoto ni Waziri wa Katiba na Sheria  na kulia ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt, Tulia Ackson.
imgs5732
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyesha Mradi wa Maboresho ya Huduma za Mahakama ya Tanzania  baada ya kuuzindua mjini Kibaha Septemba 21, 2016. Wengine pichani kutoka kushoto ni Dkt. Hassison Mwakyembe, Waziri wa Katiba na Sheria, Jaji Mkuu, Mohamed Othman Chande na Naibu Spika wa Bunge, Dkt Ackson Tulia.
imgs5737
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyesha Mradi wa Maboresho ya Huduma za Mahakama ya Tanzania  baada ya kuuzindua mjini Kibaha Septemba 21, 2016. Kushoto ni Jaji Mkuu wa Tanzania Mohamed Chande Othman.
imgs5742
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi Mkurugenzi wa Benki ya Dunia wa Nchi za Tanzania, Burundi, Malawi na Somalia, Bella Bird kitabu cha Mradi wa Maboresho  ya Huduma za Mahakama ya Tanzania  baada ya kuuzindua mjini Kibaha Septemba 21, 2016. Kushoto ni Jaji Mkuu wa Tanzania Mohamed Chande Othman  na kulia ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson.
imgs5749
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi Mkurugenzi wa Benki ya Dunia wa Nchi za Tanzania, Burundi, Malawi na Somalia, Bella Bird kitabu cha Mradi wa Maboresho  ya Huduma za Mahakama ya Tanzania  baada ya kuuzindua mjini Kibaha Septemba 21, 2016. Kushoto ni Jaji Mkuu wa Tanzania Mohamed Chande Othman. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.
imgs5767
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua  Mpango Mkakati na Mradi  wa Maboresho ya Huduma za Mahakama ya Tanzania ulifanywa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa mjini Kibaha Septemba 21, 2016.
imgs5775
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la Msingi la jengo la Mahakama ya Hakimu Mkazi Pwani na Mahakama ya Wilaya ya Kibaha  Sptemba 21, 2016.
imgs5811
imgs5817Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya  pamoja na viongozi mbalimbali waliohudhuria katika uzinduzi wa  Mpango Mkakati na Mradi  wa Maboresho ya Huduma za Mahakama ya Tanzania ulifanywa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa mjini Kibaha Septemba 21, 2016.
imgs5856
imgs5859
Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akiondoka baada ya kuweka jiwe la msingi la jengo la Hakimu Mkazi Mahakama ya Pwani na Mahakama ya wilaya ya Kibaha Septemba 21, 2016. Kushoto kwake ni Jaji Mkuu wa Tanzania Mohamed Chande Othman na kulia kwake ni Mkurugenzi wa Benki ya Dunia wa nchi za Tanzania, Burundi, Malawi na Somalia, Bella Bird.
imgs5874
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi wa Benki ya Dunia wa nchi za Tanzania, Burundi, Malawi na Somalia, Bella Bird (kulia kwake) na Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman (kulia) baada ya kuweka jiwe la msingi la jengo la Hakimu Mkazi Mahakama ya Pwani na Mahakama ya wilaya ya Kibaha Septemba 21,2016. Wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarest Ndikilo.
Kama hii ilikupita: Jaji Chande auzungumzia Mpango Mkakati wa Mahakama Tanzania
 

Video: DC Happi azindua mfumo wa wataalamu wa wajasiliamali
Zeben Aipanga Vilivyo Azam FC