Rapper maarufu kutoka nchini Marekani, Offset ameweka wazi sababu za yeye kuomba msamaha mbele ya mashabiki kwa mke wake, Cardi B wakati akitumbuiza ili warudiane, huku akiwa ameambatana na maua yenye maneno yanayosomeka” Nipokee Cardi B”

Kwenye ukurasa wake wa Twitter rapper huyo amefuguka na kuandika kuwa “Makosa yangu yote yalikuwa hadharani na ni sahihi pia msamaha wangu uwe hadharani, nilikuwa najaribu tuu nashukuru Mungu sikujua kuwa ni mapito,”ameandika Offset

Hata hivyo pamoja na Offset kwenda na maua stejini bado rapper Cardi B alikataa kumsikiliza na wala hakutoa msamaha wala kupoka chohote kutoka kwa Offset, kitu ambacho kimeacha maswali kwa mashabki wao.

CCM yawafutia adhabu wasaliti, yamteua Mtolea kugombea Temeke
Uwoya afungua Club siku yake ya kuzaliwa

Comments

comments