Kwa mujibu wa Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi, ndege mpya ya Tanzania, Air Bus A220-300 imeshapita jijini Accra Ghana ikiwa safarini kutoka Canada ambako imetengenezwa. Ndege hiyo itawasili nchini leo na kupokelewa na Rais John Magufuli.

Bashiru Ally awataka CCM kumuunga mkono Lwakatare
Waziri Hasunga asimikwa kuwa Chief Nzunda, asema hakuna mbadala wa CCM

Comments

comments