Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo, Omary Mgumba amefanya Kikao na watumishi wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji.
 
Akiwa safarini kutoka jijini Dar es salaam kuelekea mkoni Ruvuma kikazi, Mgumba amewasisitiza watumishi wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji kufanyakazi kwa bidii na kujituma.
 
Aidha, amesisitiza ushirikiano na ueledi ili kutimiza dhima ya Serikali ya Awamu ya Tano ili kuleta maendeleo katika uzalishaji wa chakula kupitia kilimo cha Uhakika cha Umwagiliaji kuelekea Tanzania ya viwanda.

Video: Makonda awalipua Chadema 'Wameshindwa hata kujenga ofisi ya makao makuu yao'
Programu ya Lukuvi yaibua madudu jijini Dar