Diwani wa Kata ya Kia Wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro, Yohana Timoth Laizer mwanachama wa Chadema amejiuzulu uanachama na nafasi yake na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Sababu za kujiuzulu amezitajwa hapo chini kwenye barua aliyoiandika kwenda kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Hai kama  inavyosomeka.

Timoth amefanya uamuzi huo leo Agosti 2, 2018.

 

Video: Ridhiwani Kikwete apokea msaada wa vifaa mbalimbali vya hospitali ya Msoga
Kesi ya viongozi wa Chadema yapigwa kalenda