Nyota namba tatu kwa ubora wa mchezo wa tenesi muingereza Andy Murray ametwaa ubingwa wa michuano ya Rogers.

Murray ametwaa ubingwa huu baada ya kumshinda mpinzani wake Novack Djokovic kwa seti 6-4 4-6 6-3 katika mchezo uliochukua muda wa saa tatu.
It is the first time that Murray has defeated Djokovic since the Wimbledon final back in 2013
Kwa ushindi huu Murray anavunja mwiko wa kupoteza mapambano manane dhidi ya Novack ambae anashilikia nafasi ya kwanza kwa ubora.
Murray dedicated his win to coach Amelie Mauresmo (pictured at Wimbledon this summer) after she gave birth to a baby boy on Sunday 
Murray amemzawadia ushindi huo kocha wake Amelie Mauresmo,aliyepata mtoto wa kiume siku ya jumapili.

 

Balotelli Arejea Etihad Stadium
Joseph Butiku Apasua Jipu, "Nyerere Alipenda CCM Imeguke"