Mgombea ubunge wa Jimbo la Kinondoni kupitia tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Salum Mwalimu amekamatwa na polisi kituo cha kupigia kura cha Idrisa kata ya Magomeni.

Taharuki imeibuka baada ya sanduku la kura kudaiwa kuibwa katika Kituo hicho huku Msimamizi wa kituo hicho akikataa kuongea na kusema hana mamlaka ya kuzungumzia suala hilo.

Tunataka haki itendeke Siha- Elvis
Jaji Semistocles atembelea kituo cha kupiga kura cha Leader Club