Waziri wa Maji, Prof. Makame Mbarawa ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mjini Mtwara (MTUWASA), Mhandisi Mashaka Sitta.

Katika hatua nyingine Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Prof. Kitila Mkumbo kwa kushauriana na Katibu wa Mkoa wa Ruvuma amemsimamisha kazi katibu Tawala Msaidizi wa Maji Ruvuma, Mhandisi  Genes  Kimoro ili kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili ikiwemo kutekeleza miradi ya maji chini ya kiwango.

Video: Maajabu 5 michuano ya AFCON 2019 | Tanzania imetajwa kwenye hili
Polisi wakatazwa kufanya mashambulizi kwa waandamanaji

Comments

comments