Mwanamuziki maarufu nchini Marekani, Travis Scott ameingia makubaliano na NFL kwamba hadi kumfanya atumbuize kwenye fainali ya Super Bowl ni  lazima wakubali kuchangia taasisi ya watu wenye uhitaji .

Ombi hilo la Travis Scott limepitishwa na kwa pamoja watachangia $500 kituo cha Dreams Corps taasisi ambayo  inajishugulisha kutokomeza ubaguzi wa rangi iliyoanzishwa na Van Jones  mwaka 2014.

Tangu Tetesi ya AstroWorld  rapa, Travis Scott kakubali ofa ya kutumbuiza kwenye Super Bowl  amekuwa akipokea mashambulio makali kutoka kwa wanamuziki na mashabiki hii ni kutokana na ubaguzi wa rangi kuikumba NFL.

Kikundi cha muziki Maroon 5 wametangaza uwepo wa Travis Scott kutumbuiza kwenye mapumziko ya Fainali ya super  Bowl 2019.

'Label' ya Rkelly yagoma kuachia ngoma zake
Ndege aina ya Boeing 707 yaanguka na kuua 15

Comments

comments