Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, leo Aprili 6, 2020, ametoa agizo kwa wakazi wa jiji hilo kuendelea kufanya kazi kwa bidii huku wakichukua tahadhari dhidi ya virusi vya Covid – 19 kwani hawatakiwi kukaa ndani kwa kuogopa kuambukizwa.

Makonda amesema kama wananchi wameweza kujilinda kwa gharama dhidi ya Virusi vya UKIMWI basi wasishindwe kujilinda dhidi ya Corona ambayo kinga ya kwanza ni kunawa mikono kwa maji yanayo tiririka na sabubi,..Bofya hapa kutazama.

Fahamu vyakula vya ajabu vinavyoliwa na wachina
Tanzania waongezeka wagonjwa wapya wanne wa Corona

Comments

comments