Rais Magufuli leo Julai 12,2020 amemteua Dkt.Maduhu Isaac Kazi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC).

Kabla ya uteuzi Maduhu alikuwa Meneja wa Idara ya Sera za Kibajeti na Madeni Benki Kuu ya Tanzania (BOT).

Dkt. Kazi anachukua nafasi ya Godffrey Mwambe. Uteuzi wa Dkt. Kazi unaanza leo Julai 12, 2020.

Rais wa Malawi awajibu wanaomkosoa kuteua ndungu kwenye Baraza la Mawaziri
Kwa mara ya kwanza Trump avaa barakoa hadharani