Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amteua Stella Tullo Chagi kuwa Msajili wa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba wa Wilaya.

Katibu Mkuu, Balozi Eng. John Kijazi ametangaza kuwa uteuzi wa Stella Tullo umeanza rasmi toka Novemba 25, 2017.

Ratiba ligi Tanzania bara, kombe la Azam
Wateuliwa Kuunda Kamati Ndogondogo AFCON U17