Leo Aprili 2, 2017 Mbio za Mwenge zinazinduliwa rasmi na uzinduzi huo unafanyika Kitaifa Mkoani Katavi. Mbio za Mwenge wa Uhuru hufanyiaka kila mwaka katika maeneo mbalimbali nchini. Mbio hizi huanza na tukio la kuwashwa kwa Mwenge.

Mwenge wa Uhuru umeasisiwa na Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Desemba 9, 1961 siku ya uhuru wa Tanganyika.

Ujumbe wa Mbio za Mwenge mwaka huu unasema “Shiriki katika uchumi wa viwanda kwa maendeleo ya nchi yetu”. Bofya hapa kutazama moja kwa moja kutoka mkoani Katavi.

Vigogo walioficha mali kupigwa kitanzi
Rais Dkt. Magufuli: ole wake atakaeingilia kamati niliyoiunda

Comments

comments