Leo Aprili 12, 2017 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli anaweka jiwe la msingi katika ujenzi wa Reli kisasa (Standard Gauge) katika eneo la Pugu Jijini Dar es salaam.

Mradi huo utarahisisha usafiri wa kutoka Dar es salaam hadi katika mikoa ya Morogoro, Dodoma na Mwanza. Bofya hapa kutazama moja kwa moja

Video: Lema Awaonya Wanaopanga Kumteka, Aeleza Anapopata Ulinzi
Jafo awanyooshea kidole watumishi wa umma, awataka kujirekebisha

Comments

comments