Fuatilia hapa moja kwa moja mkoani Njombe, Rais Magufuli muda huu akizungumza na wananchi wa mkoa huo.
Rais yupo mkoani Njombe akiwa ziarani kikazi ambapo ziara yake rasmi ilianzia Mtwara, Lindi, Ruvuma na sasa Njombe.

CAG ataja mashirika ya umma 14 yenye hali mbaya kifedha
Mabasi ya mwendokasi 24 kufanya kazi, 58 yaondolewa barabarani