Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli anazungumza na viongozi wa Shirikisho la vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), vyama shiriki, watendaji wakuu wa mifuko ya hifadhi ya jamii, (NSSF na PSSSF) na mamlaka ya usimamizi ya hifadhi ya jamii (SSRA) kujadili masuala ya yahusuyo mafao ya wafanyakazi hususani kikokotoo.

Tazama hapa

Raia wa Ufaransa aanza safari ya kuvuka bahari kwa Pipa
Chupa za damu 601 zahitajika mkoani Njombe ili kukidhi mahitaji