Fuatilia wakati huu ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli nchini Malawi, ambapo wakati huu akiwa na mwenyeji wake Rais, Prof. Arthur Peter Mutharika wanafungua msimu wa soko la Tumbaku na kuzungumza na wadau wa zao hilo na baadaye Rais Magufuli atarejea nchini Tanzania ambako ataanza ziara ya kikazi ya siku 8 katika mkoa wa Mbeya.

 

Rais wa Sri Lanka afanya mabadiliko ya vikosi vya usalama
Makala: ‘Vita’ ya Diamond, Zari na athari kwa afya ya watoto

Comments

comments