Fuatilia hapa matangazo ya moja kwa moja, Rais dkt. John Magufuli alipokea ripoti ya ukaguzi kutoka kwa CAG na ripoti kutoka Takukuru, Ikulu ya Tanzania Chamwino Dodoma.

Ripoti hii ni ya kwanza kuwasilishwa na CAG mpya Charles Kichere tokea alipoteuliwa na rais mwezi Novemba 2019,…Bofya hapa kutazama.

Live: Hotuba ya Magufuli baada ya kupokea ripoti ya CAG na Takukuru
Video: Vipimo corona vyanasa mgeni mwingine Zanzibar, Mafuriko yaivuruga Rufiji

Comments

comments