Shuhudia hapa moja kwa moja Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Samia Suluhu na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakipokea ndege mpya ya Tanzania katika viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere muda huu.

Ndugai: Tuunge mkono juhudi za Rais Magufuli, 'Tulikuwa tunachekwa hadi na nchi ndogo'
Pinda awajibu kuhusu Urais 2020

Comments

comments