Tazama hapa moja kwa moja kutoka uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es salaam, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia baada ya kupokea ndege mpya ya Tanzania aina ya Airbus A220-300 (Ngorongoro) iliyowasili muda mfupi leo Januari 11, 2019.

Tazama hapa

Wahandisi wa maji wakalia kuti kavu
'Kwanini tumsifie JPM wakati hizi ni kodi zetu?', Kakobe afunguka

Comments

comments