Shuhudia hapa matangazo ya mojakwa moja ya maadhimisho ya miaka 60 ya kumbukizi ya ugunduzi wa fuvu la ZINJANTHROPUS BOISEI ndani ya hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro  Mkoani Arusha, katika eneo la bonde la Olduvai.

Waziri Mkuu , Kassim Majaliwa ndiye mgeni rasmi, anazindua mnara wa kumbukumbu akiongozwa na waziri wa Maliasili na Utalii Hamisi Kigwangalla na kutembelea vituo mbalimbali vya kumbukizi ya chimbuko la binadamu,…Bofya hapa kutazama.

Kenya: Mlinzi wa Spika auawa kwa Risasi
Video: Bashe Nimetokea benchi kufanikisha ushindi, Kilichomngoa Waziri Makamba hiki hapa

Comments

comments