Tazama hapa moja kwa moja kutoka nchini Kenya ambapo Tume Huru ya Uchaguzi nchini humo (IEBC) ipo tayari kutangaza matokeo ya uchaguzi mkuu nchini humo huku mgombea urais kutoka umoja wa vyama upinzani NASA, Raila Odinga bado anailalamikia tume hiyo. Tazama hapa kufuatilia yanayojiri muda huu

Video: Rais wa Misri kuwasili nchini kwa ziara ya siku mbili
Prof. Mbarawa atoa mwezi mmoja kwa wafanyabiashara kulipa kodi