Fuatilia hapa moja kwa moja Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, Bashiru Ally akizungumza na waandishi wa habari muda huu.

Aidha mbunge mwingine toka Chama cha Wananchi CUF jimbo la Liwale, Zuberi Kuchauka kwa hiari yake ameamua kujivua uanachama wa chama hicho na kurejea katika Chama Cha Mapinduzi kuunga mkono jitihada zinazofanywa na Rais John Pombe Magufuli.

Kamwelwe akazia ving'amuzi kufuata sheria, Clouds TV, ITV zaondolewa
Trump aiwekea Zimbabwe ‘kisiki’ kingine kisa uchaguzi

Comments

comments