Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amewaarika wachezaji wa Timu ya Taifa, Taifa Stars baada ya kufanikiwa kufuzu kushiriki michuano ya AFCON kwa kuifunga Uganda magoli 3 – 0 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

Tazama hapa moja kwa moja kutoka Ikulu muda huu Rais Magufuli akihutubia.

Serikali ya Dubai yamkana R Kelly
Lipumba aeleza atakavyofuta nyayo za Zitto, Maalim Seif

Comments

comments