Rais DKT John Magufuli kuapisha viongozi mbalimbali akiwemo mdhibiti na mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Katibu tawala mkoa wa Njombe, Balozi wa Tanzania Nchini Kuwait, Kamishna wa kazi katika ofisi ya waziri mkuu na majaji 12 wa mahakama kuu.

Ndugai afunguka CAG Kichere anavyotegemewa
Hawa ndiyo viongozi wanaoapishwa na Rais Magufuli leo

Comments

comments