Kinyang’anyiro  cha uchaguzi wa nafasi mbalimbali za uongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) umefanyika mapema hii leo mjini Dodoma huku Wallace Karia akiibuka mshindi wa nafasi ya urais.

Mbali na Karia, nafasi ya Makamu wa Rais imechukuliwa Michael Wambura aliyeibuka kidedea katika nafasi hiyo, hivyo atakuwa madarakani kwa muda wa miaka minne .

Comments

comments