Muda mchache uliopita shirikisho la soka barani Ulaya UEFA limekamilisha upangani wa michezo ya mtoano ya ligi ya mabingwa barani humo.

Man Utd ambayo ni moja ya klabu zilizopo kwenye mchakato huo imeangukia mikononi mwa FC Club Bruge ya nchini Ubelgiji.

Man Utd wataanzia nyumbani Old Trafford na kisha watamalizia mchezo wa mkondo wa pili ugenini

Michezo mingine iliyopangwa katika zoezi hilo.

Lazio v Bayer Leverkusen

Manchester United v Club Brugge

Sporing v CSKA Moscow

Rapid Vienna v Shakhtar Donetsk

Valencia v Monaco

Astana v Apoel

Skenderbeu v Dinamo Zagreb

Basel v Maccabi Tel Aviv

BATE v Partizan

Celtic v Malmo

Michezo ya hatua ya mtoano ya ligi ya mabingwa barani Ulaya imepangwa kuchezwa August 18/19 na ile ya mkondo wa pili itachezwa August 25/26

Mgosi Bosi Mpya Msimbazi
Video: ‘Empire’ Yaachia Trailer Ya Msimu Wa Pili, Ni Zaidi Ya Vita Ya Familia