Michuano ya ligi ya mabingwa barani Ulaya hatua ya makundi mzunguko wa tano iliendelea tena usiku wa kuamkia leo, na matokeo yalikua kama ifuatavyo.

Champions League – Group A

Atletico Madrid 2 – 0 Monaco

Borussia Dortmund 0 – 0 Club Brugge

 

Champions League – Group B

PSV Eindhoven 1 – 2 FC Barcelona

Tottenham Hotspur 1 – 0 Inter Milan

 

Champions League – Group C

Paris Saint-Germain 2 – 1 Liverpool

SSC Napoli 3 – 1 FK Crvena Zvezda

 

Champions League – Group D

Lokomotiv Moscow 2 – 0 Galatasaray

FC Porto 3 – 1 Schalke 04

Kwa matokeo hayo klabu za Atletico Madrid, Borussia Dortmund, FC Barcelna, FC Porto  na Schalke 04 zimefuzu kucheza hatua ya 16 bora.

Serikali kununua Meli kubwa za uvuvi wa Samaki
Museveni aigomea Burundi, ataka kikao kifanyike kama kilivyo pangwa

Comments

comments