Michuano ya ligi ya mabingwa barani Ulaya hatua ya makundi mzunguko wa tano iliendelea tena usiku wa kuamkia leo, na matokeo yalikua kama ifuatavyo.

Champions League – Group E

AEK Athens 0 – 2 Ajax

Bayern Munich 5 – 1 Benfica

 

Champions League – Group F

Hoffenheim 2 – 3 Shakhtar Donetsk

Lyon 2 – 2 Manchester City

 

Champions League – Group G

CSKA Moscow 1 – 2 Viktoria Plzen

Roma 0 – 2 Real Madrid

 

Champions League – Group H

Juventus 1 – 0 Valencia

Manchester United 1 – 0 Young Boys

Kwa matokeo hayo klabu za Man Utd, Man City, Juventus, Real Madrid, Bayern Munich, Ajax Amsterdam na AS Roma zimefuzu kucheza hatua ya 16 bora.

Papa Francis ateua mrithi wa muda wa Askofu Chengula
Habari kubwa katika magazeti ya Tanzania leo Novemba 28, 2018

Comments

comments