Leo Septemba 21, 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini ya Mfuko wa Pensheni wa LAPF, Prof. Hasa Mlawa kuanzia leo.

Taarifa kutoka Ikulu zimeeleza kuwa mbali na Rais Magufuli kutengua uteuzi wa Prof. Mlawa pia amevunja Bodi hiyo na uteuzi wa Mwenyekiti mpya utafanywa baadaye.

Balozi Kijazi amkabidhi waziri Mkuu sh. bil.1 kwa ajili ya waathirika Kagera
Vibali vya safari ni kero kwa Wabunge.

Comments

comments