Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amefanya mabadiliko madogo kwenye baraza la mawaziri kwa kumteua Balozi Augustin Mahiga kuwa waziri wa katiba na sheria.

Aidha, Rais Dkt. Magufuli amemteua waziri Paramagamba Kabudi kuwa waziri wa mambo ya  nje na ushirikiano

 

Lema ‘atoa povu’ kuhusu Lowassa, Nassari akiri kuhuzunika
Habari kubwa katika magazeti ya Tanzania leo Machi 3, 2019

Comments

comments