Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Jeshi la Polisi limetangaza kusitisha utoaji wa ajira zilizotangazwa kwa vijana wa JKT waliopita oparesheni Kikwete ambazo zilikuwa zimetangazwa katika vyombo mbalimbali vya habari nchini.

Taarifa hiyo imetolewa leo Juni 26 2018 na Ofisi ya Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya, Mussa Taibu.

Video: Majaliwa kuzindua vituo 51 vya hali ya hewa vinavyojiendesha vyenyewe
Meddie Kagere kuvaa jezi ya Simba msimu wa 2018/19