Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya uchaguzi, Jaji Semistocles Kaijage amefanya ziara katika Kituo cha kupigia kura cha Leaders Club asubuhi, ambapo amesema vituo vimefunguliwa kwa muda muafaka.

Aidha, Kuhusu malalamiko yaliyojitokeza vituoni, amesema hajapokea malalamiko yoyote hadi sasa, hivyo amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi katika zoezi hilo la upigaji kura.

Mgombea Ubunge Chadema akamatwa
Kamanda Mambosasa akiri mtu mmoja kupigwa risasi