Mwakilishi wa Tanzania katika kinyang’anyiro cha kumtafuta mrembo wa dunia (Miss World), Queen Elizabeth Makune amefanikiwa kuingia katika orodha ya warembo mia moja watakao wania taji la mrembo wa dunia, fainali ikitarajiwa kufanyika Sanya nchini china Decemba 8 mwaka huu.

Ili kupata mshindi wa taji hilo kila mrembo atapigiwa kura kumuwezesha kuibuka mshindi,kamati ya Miss world imetoa tovuti maalumu na vyazo mbalimbali vya kupiga kura mtandaoni link kwa kila nchi kwaajili ya kumpigia kura mshiriki ane wakilisha nchi husika.

Kumpigia kura Miss Tanzania QueenElizabeth Makune ili aibuke mshindi katika mashindano ya Miss world mwaka 2018 hii apa link itakayo kupeleka moja kwa moja kumpigia kura,

1. Like Official Facebook Page yake
👇🏾Link
www.facebook.com/Miss-World-TANZANIA

2. Piga kura kupitia tovuti ya Miss World 👇🏾Link
www.missworld.com/

3. Download MOBSTAR application kupitia App store au playstore

4. Piga kura kupitia MODEL POWER live.Link
https://missvo.modelpowergd.com/en/?id=1#/detail?id=117

CCM yalia na mitandao ya kijamii 'Msituvuruge'
Video: Mawaziri washirika wa Membe kitanzini, Sakata la mafao hoja binafsi kutua Bungeni

Comments

comments