Sewa Hadji Paroo ndiye mwanzilishi wa Hospitali ya Muhimbili mwaka 1891, iliyojulikana kwa jina Sewa Hadji Hospital enzi hizo. Ilibadilishwa jina na kuwa Princess Magreth Hospital wakati wa utawala wa Uingereza kisha baadaye kuwa Hospitali ya Muhimbili jina ambalo limedumu hadi sasa.

Ilifunguliwa rasmi kuwa Hospitali ya Muhimbili mwaka 1936.

Sewa Hadji ambaye ni mzaliwa wa Zanzibar pia ndiye mwanzilishi wa Shule ya Msingi Mwambao Bagamoyo (Rais msataafu wa Tanzania, Jakaya Kikwete amesoma shule hiyo) na Hospitali ya Bagamoyo.

Ommy Dimpoz ajibu tuhuma za ‘ushoga’ alizotupiwa na Diamond
Santi Cazorla Kuhamia Italia?