Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo amemchapa Sergio Gonzalez, raia wa Argentina kwa ‘Knockout’ kwenye mzunguko wa 5, katika pambano lililochezwa Jijini Nairobi usiku wa jana, Machi 23