Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefika nyumbani kwa Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamis Kigwangala Victoria Jijini Dar es salaam kwa ajili ya kutoa salamu za pole kufuatia kifo cha Mtoto wake aitwaye Zul Hamis Kigwangala za pole kufuatia kifo cha Mtoto wake aitwaye Zul Hamis Kigwangala.

TADB yaweka mkakati wa kudhibiti upotevu wa zao la Mahindi
Ajali mbaya yatokea mkoani Songwe

Comments

comments