Fahamu yote yaliyojiri katika magazeti ya Tanzania leo Septemba 8, 2019. Hapa unapata habari zote zilizopewa uzito katika kurasa za mbele, kurasa za nyuma za habari za michezo na burudani.

Trump afuta mazungumzo na kundi la Taliban, amlilia mwanajeshi wake
Mchekeshaji Kevin Hart afanyiwa upasuaji