Fahamu yote yaliyojiri katika magazeti ya Tanzania leo Septemba 19, 2019. Hapa unapata habari zote zilizopewa uzito katika kurasa za mbele, kurasa za nyuma za habari za michezo na burudani.

ZFA yasikitishwa na kifo cha Jeba
Milango yamponza Mhandisi Morogoro, Waziri Mkuu amsimamisha kazi