Fahamu yote yaliyojiri katika magazeti ya Tanzania leo Juni 2, 2019. Hapa unapata habari zote zilizopewa uzito katika kurasa za mbele, kurasa za nyuma za habari za michezo na burudani

Serikali kufanya ukarabati mkubwa wa Reli ya kati
Waziri Jafo kushughulikia tatizo la VAT kwa wakandarasi