Fahamu yote yaliyojiri katika Magazeti ya Tanzania leo Desemba 30, 2018. Hapa unapata habari zote zilizopewa uzito katika kurasa za mbele na kurasa za nyuma za habari za michezo na burudani.

Polisi waua magaidi 40 waliopanga kulipua makanisa
Liverpool yaipasua Arsenal, Firmino achoma kibanda cha bunduki